Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

d65e70293c75d878c520d2faef5c449d~2.jpg
 
Nakwambiaga nikija uwe unakua nyuma yangu unanisaidia nisipigwee mjini.

Nimepigwa mitaa ya karume mitaa ya TBL kwa mbele; yule fala sijui anatumia vidawa.

Nimejikuta natoa buku mbili za glass ya juice pasipo hata kutarajia, juice yenyewe ni mi maji.

Jamaa kanishobokea kaniita utafikiri ananijua; kaka mkubwa vipi, daah kitambo mi nikabaki navuta taswira mbona simjui huyu. Kuja kushtuka nishakunywa juice glass mbili.
Usome UDSM halafu uokotwe kishamba hivyo?
Hivi chino unatuchukuliaje lakini? 😹😹😹
 
Back
Top Bottom