Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,312
Kila la heri MkuuTutafanya hivyo mkuu ngoja tujipate
Mfanyeni Bibi yenu aone fahari 🤗
Kila la heri MkuuTutafanya hivyo mkuu ngoja tujipate
Ila kwa VPN unatumia kama KAWAIDA kwa sasa ndani ya mitaa ya NetherlandsKila la kheri guys,,,, hakuna jukwaa lingine la kukutania ? Jf ndo hivo imefungiwa !!!!!
Siku 90 sio haba,,,, huenda zikaisha na zikaongezwa,,,, ni kama chadema na zile siku 14 walizopewa !
What a pleasure
Kwa vpn sawa,, mimi kwa sasa nipo near Missisippi RiverIla kwa VPN unatumia kama KAWAIDA kwa sasa ndani ya mitaa ya Netherlands
chief msalimie huyo wa kwanza (upande wa kulia), ana tabasamu zuri.
Zime nyooka, kiufupi huja pigwaView attachment 3466855
Nimevunja kibubu😂
Zimefika mkuu, nae akusalimia piachief msalimie huyo wa kwanza (upande wa kulia), ana tabasamu zuri.
Huyo mwenye kifua wazi ndio master wa mtaa 😹😹
Acha kunifukuzia buzi langu min 😹😹Mimi sio nabii ila hapo ndio utachanganyikiwa kabisa bwashee 🤣
Naenda kuongeza dawa kwa mganga server za ubongo wako zijae Lamo tu 😹😹😹Itakuwa kaniweka kwenye chupa bwashee sipendui kabisa
Na bado hujasema 😹😹Hapa kwa mkinga Sina mwendo tena
Nimeamua kutulia kabisa; sijui kanipa shuntama la kihaya! Haiwezekani ni muone yeye tu saivi
Kijana unalipa mshahara wa PHDWee jamaaa mbona unanijua hvo daaah Et ulongoni A kweli ww ni agent 007 kaka we noma 😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🙌🙌🙌🙌
Mi hapa ofisini kwangu mshahara ni laki tano kwa mwezi kama ataweza its oky mana vijana wa sasa wana mapuuza
Usione vinaelea!chief msalimie huyo wa kwanza (upande wa kulia), ana tabasamu zuri.
Nakwambiaga nikija uwe unakua nyuma yangu unanisaidia nisipigwee mjini.Na bado hujasema 😹😹
Chino punguza wenge kijana, najua una ogopa kuniita shemeji!Usione vinaelea!