Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huu wa kulia ni weweLamomy Mate umeamini kuwa niko na bi chaumbea? Angalia kucha za mkono wake na wangu.
View attachment 3465198
Huu wa kulia ni weweLamomy Mate umeamini kuwa niko na bi chaumbea? Angalia kucha za mkono wake na wangu.
View attachment 3465198
😂😂😂😂😂😂😹😹😹 We nkamu tupia kitu hiko, hiyo body ya kina Naomi Campbell upige swimming costume sasa balaa lake 😍😍
Mabonge yakivaa hivyo 😹😹😹
Ntapigwa acha ninyamaze
👍👍 yes focusSija wahi kujipata mkuu, maana ninako elekea nako kasheshe tu.
all in all kila mtu ashinde mechi zake.
Nimetulia bibi, si unajua mie sina longolongo, niletee na kahawa yangu tu.haya tulia babu, fanya kama unasoma gazeti kwenye kile kiti chako na miwani yako
1996.Hii mwaka gani mkuu
Wewe ni huyo mwenye mbavu, nimepatia?1996.
Magomeni.
96 ulikua wap😆Wewe ni huyo mwenye mbavu, nimepatia?
Ndo dada yangu wa kwanza alizaliwa😂96 ulikua wap😆
Halafu huku kutwa kucha kunitukana🤣🤣Ndo dada yangu wa kwanza alizaliwa😂
Nakupandishia kibesi kabisa😂Halafu huku kutwa kucha kunitukana🤣🤣
Huyu mbavu na mwenzie ndio walikua wanapangaji wa timu.Wewe ni huyo mwenye mbavu, nimepatia?
😅😅na unasusa kabisa etiNakupandishia kibesi kabisa😂
"Mtoto wa 2000 kaniambia ananipa last chance"
.😅😅na unasusa kabisa eti
Kiburi hicho
Madogo wa 2000 wananionaga dogo mwenzio kumbe km zimesoma sana..Halafu huku kutwa kucha kunitukana🤣🤣
Sawa karibu bia