binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,110
- 34,405
Una machooo!Huu wa kulia ni wewe
Una machooo!Huu wa kulia ni wewe
Hahahahaha na umatumbini nilikua kibonge nikawa mfupi ,futi sita zangu zikaonekana sio bure🤣🤣🤣 karibu tupate bia zaidi 🤣Umatumbini ulikua bonge la bwana huko ulipo unawafatisha wazungu mambo ya diet
Yaani huyo ndo anataka siku nikiweka chini asutweMaliza utata tu haha
Mimi sijui kwanini sipendi wembambaHahahahaha na umatumbini nilikua kibonge nikawa mfupi ,futi sita zangu zikaonekana sio bure🤣🤣🤣 karibu tupate bia zaidi 🤣
Ila bdo sijawa mwembamba wa kutisha 🤔Mimi sijui kwanini sipendi wembamba
JidanganyeIla bdo sijawa mwembamba wa kutisha 🤔
Hahaha ni kweli , now ndio nipo romantic zaidi 🤣🤣Jidanganye
Tumevamiwa aisee, njooni huku..Safi sana bwashee
Kwa wazungu sawaHahaha ni kweli , now ndio nipo romantic zaidi 🤣🤣
Kwamba nimepungua sna🥲Kwa wazungu sawa
Imani imenijia tu;; mambo yapo.Yaani huyo ndo anataka siku nikiweka chini asutwe
KidogoKwamba nimepungua sna🥲
Ushalewa bwasheeTumevamiwa aisee, njooni huku..
Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
Mhmm nimeogopa kwamba umatumbini nilikua vizuri zaidi kuliko sasa 🤔Kidogo
Usinisikilize mimi bhana! Kwani mchumba ako anasemaje?😂Mhmm nimeogopa kwamba umatumbini nilikua vizuri zaidi kuliko sasa 🤔
Kama jina langu lilivyosimama🥰Mawardat warda selfika chap
Sina mchumba ila mama kaniambia nimekua gentleman kama kipindi baba angu anamtongoza🤣Usinisikilize mimi bhana! Kwani mchumba ako anasemaje?😂
Kwa huu uvamizi wa JF acha kila mtu akae kimasta sis 🤣🤣Duu sasa mbona mnaweka picha na kutoa kama mnaogopa tozo jamani? min -me