min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,634
- 164,941
Safi bwashee pombe , na chakula bila stress za kijinga jinga , mimi now nakula bata tu hapa naona kama napaa🤣🤣Muda si mrefuu mwenzako ntaanza kunywa 😊 😃
Safi bwashee pombe , na chakula bila stress za kijinga jinga , mimi now nakula bata tu hapa naona kama napaa🤣🤣Muda si mrefuu mwenzako ntaanza kunywa 😊 😃
4 sure 😅🤣🤣🤣🤣,Umeona eeh
Dogo anajielewa sana , muhimu tu awe analewa na anatambua wajibu wake bwashee.
Maisha ni haya haya let's us celebrate... living.Safi bwashee pombe , na chakula bila stress za kijinga jinga , mimi now nakula bata tu hapa naona kama napaa🤣🤣
Sure broMaisha ni haya haya let's us celebrate... living.
Hapa nasikiliza ngoma ya BIG SEAN_MY LAST kakaaa.
hahaha!Haaahaa 😂 😁 nijambo la muda TU sisi wenyewe tulikuaga wanywa soda🥤
Mimi mpaka ma bro walikua wanasema tunawaletea nzii sababu ya soda
All in all ni jambo la mudaa
Mimi tayari
Wewe bado , ulichofanya ni 50 tuMimi tayari
Haaahaa 😂 😁 huko hakuna tuzo kaka Mimi sigara hapana KWA KWERIIIIIhahaha!
Sigarrete, sigara bwege na mivinyo.
Namshukuru Mungu vilinipitia.
Mimi ugonjwa wangu ni Hawa kina Lamomy tu.
Kaka ni kwa kweli na sio kwa kwerii🤣🤣 one love bro😂Haaahaa 😂 😁 huko hakuna tuzo kaka Mimi sigara hapana KWA KWERIIIII
Ila maji tunapiga sanaa
Safi sana huu ni wali maharage bila shaka
Mimi kula wali hadi niwe nakula na mtu peke yangu siwezi
Nimetupia naona kimya kwakoTupia basi
Hapa kwa mkinga Sina mwendo tenaHaaahaa 😂 😁 huko hakuna tuzo kaka Mimi sigara hapana KWA KWERIIIII
Ila maji tunapiga sanaa