win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,849
- 30,011
nasubirSawaa mkuu ukilud😃
nasubirSawaa mkuu ukilud😃
Mwaka Wenu si ndio Peppa lilibandikwa Hadi kwenye mistimu ya umeme? Au ilikuwa 98Maisha haya nilikuwaga naitwa mtaalam wa maarifa ya jamii.
Class letu ndio lilivunjaga rekodi kwenye history ya kufaulisha.
Tulifaulu watu sita tu.
Miaka iyo Pepa kuvuja ilikua kawaida sana;Mwaka Wenu si ndio Peppa lilibandikwa Hadi kwenye mistimu ya umeme? Au ilikuwa 98
ULitisha saaana mzeeeMiaka iyo Pepa kuvuja ilikua kawaida sana;
Mwaka wangu haukuvuja. Tulikamua kisawa sawa Enzi izo nikala zawadi za phonex za kubinuka zile.
Mzee Grahams mwaka 98 nini kilitokea paka mtihani WA form four sijui form six ukafutwa??Miaka iyo Pepa kuvuja ilikua kawaida sana;
Mwaka wangu haukuvuja. Tulikamua kisawa sawa Enzi izo nikala zawadi za phonex za kubinuka zile.
Sio 2008 form four ndio math waliahirisha nadhani,2004: ndio ilitia fola; shule nyingi sana zilikula nyundo; tokea hapo Pepa likawa halivuji ovyo ovyo Tena! Nakumbuka Mimi ndiyo nilikua nyoya.
Una kumbu kumbu sana we mzeeSio 2008 form four ndio math waliahirisha nadhani,
Ile Ngoma ilivyo rudiwa watu waliramba miswaki yakutosha.
98 nadhani nilikuwa nawasikia mabloo wakielezea kuwa Ngoma ilivuja SASA eti kuna mdau alikamatwa kafungia maandazi.
Anyway stori za vijiweni
Iko wapi picha?Done
Hahaha hii ngoma ya juzi juzi, soksi fulani hivi kila mtu analo ka kovu la kidonda.Hahaha hizi soksi za pundamilia Mzee sumbai huyu bwana mdogo Intelligent businessman anazijua kweli.
View attachment 3466017
Mkuu nina utaalamu wa kushona hapo palipo chanika, joking 😅.Maulid day
Huyo Kapachino kanjanja tu, hizo story kazi sikia kwa sisi ma bro zake.Hahahaha noma sanaa.
Shule ya msingi unasoma paka na besen??
Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima
lovely pic!Maulid day
Dah vitu vyetu hivi, madogo kama kina binti kiziwi, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, dosho12 una wapoteza kabisaa.View attachment 3466039
Enzi hizo ni mwendo wa Vibatari tu.
Tulikuwa hatuwazi kwamba Umeme wa REA ungefika Vijijini kama ilivyo sasa
atusue wapi, Kapachino muangaliziaji tu, macho ka cctv.Noma saana mzeee.
Ulikuwa ukitusua we kichwa saana.....
Eti AladdinDah vitu vyetu hivi, madogo kama kina binti kiziwi, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, dosho12 una wapoteza kabisaa.
tena huyu Kapachino ana weza dhani taa ya aladini hiyo 😂😅
Hahaha! Watoto mlio zaliwa kipindi kikwete Yuko madarakani! Na kipindi Cha magari ya njano mmekosa kabisa maadili mnatuviamba sana ma bro zenu.Huyo Kapachino kanjanja tu, hizo story kazi sikia kwa sisi ma bro zake.
Nashangaa anavyo jikuta kontawa, akati kinda tu.