Oyaaa mjuba mbona emoji kubwa saana kaka
Selfika
Hahahaa ni utaratibu bwasheeOyaaa mjuba mbona emoji kubwa saana kaka
TayariSelfika
Underscore Tz😂Don fvcking bill
Unyama sana bruh,,Uliza tena
View attachment 3465788
Baba skUnderscore Tz😂
Ndio
Hata sisi ni wa mikoani
Donemkazie mpka atoe picha alf akiselfka uniite chap😆
Sijaona naomba urudie nakutumia elaaaTayari
Ungesema nirudie tu bila kuweka hela mbele.Sijaona naomba urudie nakutumia elaaa
Kaka anajali! MsikilizeUngesema nirudie tu bila kuweka hela mbele.
Hahaha!!Ni kweli kabisaa.
Ila nna wasi wasi saana na mwaka mkuu.
Sidhani Kama ni 96
But ni mwaka 99 hivi au afumbili
Njoo bandari kaka, deals zipoKaka una tafuta sababu ya kuto nipa deal za kubeba cement ehh?
deal za kubeba ngano au mafuta, malipo yawe yame nona sio buku bee.Njoo bandari kaka, deals zipo
Sio buku bee ni buku 10 per day mkuudeal za kubeba ngano au mafuta, malipo yawe yame nona sio buku bee.
sasa 10 bado dalali haja omba donee, kula je, nauli arghh bandari isha geuka jela.Sio buku bee ni buku 10 per day mkuu
Dogo hutaki kazi basi nenda kaingize nyimbo kwenye library ya Poor Brain Gongo la mboto, Ulongoni Asasa 10 bado dalali haja omba donee, kula je, nauli arghh bandari isha geuka jela.