Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,956
- 12,419
Huwezi amini ila ndiyo ukweli, hicho kibatari nimetumia kwenye kusomea 😂😂😂Dah vitu vyetu hivi, madogo kama kina binti kiziwi, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, dosho12 una wapoteza kabisaa.
tena huyu Kapachino ana weza dhani taa ya aladini hiyo 😂😅