Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

niite chief basi, maana kuni ita mboka manyema bila heshima yangu una kosea.

Utawala wa ki chief unge endelea kuwepo, huyu Kapachino ninge mgeuza mbeba matunda kunigwa.
Mitaa ya kujidai kiloleni halafu masagala shamba, niache mkuu wewe ni rais wangu wa majobless pro max hiyo heshima inatosha 😂

Halafu kwanza mpango wa siri ni kufanya Tabora kuwa nchi huru, sidhani kama huu mpango unaujua? 😂😂😂
 
hahaha najua Sana, sitaki kuongea mengi nisije haribu code 😅
 
Hapa na force kutangaza ubingwa kwa Liverpool,

maana yeye ndiye wa 2, na nime muacha 4 points.
Yan unamzidi mtu wa pili point nne ukidraw ukafungwa umeenda yoo...😃😃angalia ma master hapa
Screenshot_20250906-004310.png
 
Back
Top Bottom