sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Sisi tulikuwa tuna tiwa stick usipopitia mlangoniMiaka hiyo shule yangu ulikua hujui mlango ni upi na dirisha ni lipi!
Mwalimu akiilingia huku unatokea huku
Sisi tulikuwa tuna tiwa stick usipopitia mlangoniMiaka hiyo shule yangu ulikua hujui mlango ni upi na dirisha ni lipi!
Mwalimu akiilingia huku unatokea huku
Ukienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa MakoroboiNini hiki?? Ndio hiki watu walikuwa wanatumia kumulikia mbususu unakirudisha mezani,
Unarudi tena kutafuta
Hongera tumezaliwa mwezi Moja mi tar 7 au tushirikiane b dayYeah sure...ngoja siku ya b'day yangu mwezi wa 10 nitapost
sumbai hapo miguu ipo kwenye beseni la maji ya baridi full kula msuliView attachment 3466039
Enzi hizo ni mwendo wa Vibatari tu.
Tulikuwa hatuwazi kwamba Umeme wa REA ungefika Vijijini kama ilivyo sasa
Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yoteUkienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa Makoroboi
Mikoa ya Pwani waliita Kibatari/Koroboi
Ulikuwa unaweka utambi+mafuta ya taa then unawasha kwaajili ya kupata mwanga
Makoroboi si ni chimbo maarufu la bidhaaa zetu pendwa?? Au mshalivunjaHapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote
Wewe hii gari inafanan na ya abduli hasani maharage kizimkazoo
Mimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika.Kha! Una makengeza? Midomo na pua si ipo wazi kabisa!
Subiri hapohapoMimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika.
Hebu post bila emoji chaap
Mzeee pande la choma lipo??? Au nundu
Paka sa ngapi? Nasinzia ujueSubiri hapohapo
Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazimaHahahaha noma sanaa.
Shule ya msingi unasoma paka na besen??
Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima
Noma saana mzeee.Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazima
Wilaya nzima ilikua na shule mmoja tu ya serikali nayo ni uhuru secondary school.
Maisha haya nilikuwaga naitwa mtaalam wa maarifa ya jamii.Noma saana mzeee.
Ulikuwa ukitusua we kichwa saana.....
Sasa hivi tuPaka sa ngapi? Nasinzia ujue
Bundle linasumbuaa linqisha bossSasa hivi tu