Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Aiseee yaisheImefanyaje mpendwa wa urojo
Aiseee yaisheImefanyaje mpendwa wa urojo
Karibu urojoAiseee yaishe
Ukichanganya pombe hakika hutapata kitu kizuri utakua so much exhausted kichwa kitauma, na hangover yake huchukua siku nzima kuisha kichwani
Nakumenya taratibu
Upo hewani
Mkuu ni mwendo wa kobe kama treni la dar to moshi hahahaha ukifika kituoni umenyong'onyea vilivyo...salute to gambe
Leo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442
Road to kcmc moshiView attachment 1284286
AsanteKaribu urojo
Leo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti down to the earth,, hata mie nikilewa nakuwa sina aibu kabisa huwa naongea vibaya hovyo lakini uzuri ni kwamba nikirudi kuwa sober huwa nakumbuka yote niliyoyaongea..
Unaanza na msingi halafu ukuta baadae hahahaha we ni kiboko...ngoja nimuite Karma na Depal ili tuongee lugha mojaNaanza na foundation View attachment 1284495