Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,435
- 52,911
Unamuonea nani aibuNaogopa mm kusema yalioendelea [emoji28][emoji28]
Unamuonea nani aibuNaogopa mm kusema yalioendelea [emoji28][emoji28]
Mshana Jr unajua matumizi ya hii kitu??
Tuna renew mjini palikua pagumu sana[emoji23][emoji41]View attachment 1284336
Kichuri [emoji849]
ShikamooHamujambo?
🙇🙇Kichuri ni kule kwenu kwetu ni kisusio
😂😂😂Hii nzuri, [emoji23]Top top , Vitu vya kufanya kabla hujafa [emoji23]
Mshana Jr unajua matumizi ya hii kitu??
Tuna renew mjini palikua pagumu sana[emoji23][emoji41]View attachment 1284336
Hapana Mkuu ,mie siko huko, kwanza domo zege ,Pili muoga
AiseeHapo basi ukipata maziwa mtindi yale machachu uchanganye kabla hiyo damu haijapoa unywe kama 1ltrs kwa kweli wee kutwa nzima ni kunywa maji tuu hamna cha njaa ni kupombeka tuu
Thanks mkuuCongratulations
Asante kwa kunistua mpendwa nasubiri picha uliniahidiNimekuona kona fulani hivi nikaona nikustue
Niliweka unajua sema hukuwepo hewani mpendwa, nitaweka tena usicheze mbaliAsante kwa kunistua mpendwa nasubiri picha uliniahidi
Hahahaha ,habari yako MkuuNaona mdogo mdogo
Hahahaha ,habari yako Mkuu
Nimeweka siti nasubiriNiliweka unajua sema hukuwepo hewani mpendwa, nitaweka tena usicheze mbali