Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Mzigo umebaki huo tu mzee...tupo wachache mzigo umetushindaSikuvaa miwani..huyo ndiyo hajwahi weka kabisa ...hebu fanya kuwaita mzee baba...vipi kisusio kimeisha mzee hata supu hujakaribisha
Mzigo umebaki huo tu mzee...tupo wachache mzigo umetushindaSikuvaa miwani..huyo ndiyo hajwahi weka kabisa ...hebu fanya kuwaita mzee baba...vipi kisusio kimeisha mzee hata supu hujakaribisha
Mzigo umebaki huo tu mzee...tupo wachache mzigo umetushindaView attachment 1284543
Na hii njaa niliyo nayo sasa
Duh hata hivyo mmekula aiseeh kama viwavi jeshi....sema supu limewekewa kila kitu hilo beef masala, chicken masala pilau masala, vitungu swaumu, pilipipl oho,tangawizi na malimao yani nimeliona mpka nimetamani nyambafuMzigo umebaki huo tu mzee...tupo wachache mzigo umetushindaView attachment 1284543
Yesu wangu Mungu baba wa mbinguni,, comments zote hizi naanzia wapi na ninamaliza saa ngapi kuzisoma mimi jamani..
Game la Man u vs Man city nina bet wakishinda Man united nitaweka picha bila ku crop
GIF video kutoka katika safari yangu ya dar-iringa hapo jana.
taja jina la eneo linaloonekana kwenye gif?.View attachment 1284548
Unataka kuniunguza mzee babaHahah...lets quote for fyucha riferensi
sio speed ya chombo cha usafiri. ni speed ya gif video.Hii speed siyo
Hahah...ahadi ni deni ujueUnataka kuniunguza mzee baba
Marahabaaa!Shikamoo
hahaha unazingua mshana.nakiri sijaelewa

Itabidi tuwe na separate mada ya wala bata.. Going places... Like if you support this