Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

eti down to the earth,, hata mie nikilewa nakuwa sina aibu kabisa huwa naongea vibaya hovyo lakini uzuri ni kwamba nikirudi kuwa sober huwa nakumbuka yote niliyoyaongea..
MM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wangu niliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi
 
Back
Top Bottom