Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

MM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff [emoji144]
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wangu [emoji23][emoji23] niliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi

Hii nzuri, [emoji23]Top top , Vitu vya kufanya kabla hujafa [emoji23]
 
Back
Top Bottom