Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
No not at all,, but some issues are just too personal man..
You shy. Got it.
You shy. Got it.
Chat na picha shem😀Huwa mnakunywa nini mpaka mnakuwa hivo?
Huwa mnakunywa nini mpaka mnakuwa hivo?
MMHaha hebu siku jaribu kuchanganya beer moja, wine moja, whisky moja na spirit moja za aina yoyote ile unayoitaka wewe yaani chupa moja moja tu wala si zaidi halafu tuletee mrejesho..
No not at all,, but some issues are just too personal man..
Hahahaha pombe inakimbilia uvunguni hahaha umetisha sana....toa experience hapa na Karma ajue kuwa pombe sio majiMM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wanguniliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth
![]()
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi
Ukichanganya pombe hakika hutapata kitu kizuri utakua so much exhausted kichwa kitauma, na hangover yake huchukua siku nzima kuisha kichwaniHaha hebu siku jaribu kuchanganya beer moja, wine moja, whisky moja na spirit moja za aina yoyote ile unayoitaka wewe yaani chupa moja moja tu wala si zaidi halafu tuletee mrejesho..
Kisusio meeeeeeee
Kichuri 🙄
Kisusio meeeeeeee
Kichuri![]()
Road to kcmc moshiView attachment 1284286
Sina uhakika...ila nawasikiagaKikwenu mnakiita hvyo?