Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
Unapenda zawadi ehhUkirudi moro uje na zawadi ..[emoji3]
Unapenda zawadi ehhUkirudi moro uje na zawadi ..[emoji3]
MM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff [emoji144]
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wangu [emoji23][emoji23] niliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi
Ukirudi moro uje na zawadi ..[emoji3]
Niko mlimani hapa nawachukulia vitu muhimu...X~mas is comingHahahahaahh
Huwa sirudi nyuma kamwe, Naa wanakusalimia ndo tunajiandaa kwenda kwa bibi yao!!
Kwani hizi moka? View attachment 1284497
Teh teh...naona unataka kujilipua mkuuGame la Man u vs Man city nina bet wakishinda Man united nitaweka picha bila ku crop
Najitundika mkuu we acha tu si kazi rahisi,lakini ndiyo maana ya ku bet mzee baba yani nusu uhai nusu kifoTeh teh...naona unataka kujilipua mkuu
Hapo ukisubiri mpambano heavy
[emoji23][emoji23] mkuu uko wapi weweHapo ukisubiri mpambano heavy
Kwenye list mkuu kuna umemruka huyu muongeze Hawachi....waje baai wabet hii game man u vs man city wakipoteza waweke picha bila crop wala kuweka ka emoj
Naanza na foundation View attachment 1284495
Nataka nijongee kwenye kwenye vikao vyetu vya wanaume... game za hivi zinaleta hamasa kuangaliazia kwenye vikao vyetu vile presha kama zote,[emoji23][emoji23] mkuu uko wapi wewe
Sikuvaa miwani..huyo ndiyo hajwahi weka kabisa ...hebu fanya kuwaita mzee baba...vipi kisusio kimeisha mzee hata supu hujakaribishaMbona yupo?
Uje ubet hapaAiseee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]