Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,979
DuhGood morning JF View attachment 1284266
DuhGood morning JF View attachment 1284266
Hahahaha, eti ataitoa kirahisiHahaha kukaa nyumbani na kunyewe nyumbani hiyo ni sababu unaogopa utaitoa kirahisi ukinyewea nje
Hahahaha, katupiga kamba hapaHahahaha Karma ametudanganya hapo
Yani ugonge Alc 63 afu wine ya 17/13. Ikushinde![]()
Ladha...
Hahaha kukaa nyumbani na kunywea nyumbani hiyo ni sababu unaogopa utaitoa kirahisi ukinyewea nje
Big Nah!!
Na ukinywa huwa mizuka ya kulika huwa inapanda asilimia ngapi? Ili siku nikutegea hahaha nile tunda kimasihara
Duh, kuna uzi maeneo unafundisha kula tunda kimasihara,sijui mpka sasa una page laki ngapi? 
Gonga savana ni light na still inalewwesha vizuri
Big nah? You don't like getting brains?
Oh come on dude
lol you'll just keep asking
Huwa mnakunywa nini mpaka mnakuwa hivo?Wallah haki ya nani nilitoboa siri karibu zote na mimi nikilewa mdomo huwa hauna break,, japo pia mimi kunywa hadi kulewa ni mara chache mno na wala sina uraibu wa pombe kihivyo huwa sipendi kufikia hatua hiyo maana daah najijua..