Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733

ndio ndio
Hapo basi ukipata maziwa mtindi yale machachu uchanganye kabla hiyo damu haijapoa unywe kama 1ltrs kwa kweli wee kutwa nzima ni kunywa maji tuu hamna cha njaa ni kupombeka tuu

ndio ndio
Hapo basi ukipata maziwa mtindi yale machachu uchanganye kabla hiyo damu haijapoa unywe kama 1ltrs kwa kweli wee kutwa nzima ni kunywa maji tuu hamna cha njaa ni kupombeka tuu
Tunatapishana mkuu 😎Leo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442

Leo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442
Mzee wa left hand
Hongera mkuu,naona sun roof pale juu
hahahhahahhahahhaaaaaaa
DuhLeo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442
Tamu sana hii kituLeo mchana ndio kama hivi
Vilulu na bukari ,na sombe
Karibuni bandugu,tukulye View attachment 1284436View attachment 1284440View attachment 1284442
Kakukaribisha unakimbia hahahaTunatapishana mkuu![]()
Tamu sana hiyo,jaribuTunatapishana mkuu![]()
Hata niwe na njaa vipi sili hao waduduKakukaribisha unakimbia hahaha
Senene unakula?Hata niwe na njaa vipi sili hao wadudu
Pweza,ngisi, kamba wote sili itakuwa hao.Tamu sana hiyo,jaribu
Hao ndio kabisa vidudu havieleweki naanzaje kuweka mdomoni.Senene unakula?
Baelezee hao banduguTamu sana hii kitu
Hahahahaha
hahahhahahhahahhaaaaaaa
mtoto kiuno nyiguHahahaha
Unakijua?Aisee
Kula taratibu utazoeaPweza,ngisi, kamba wote sili itakuwa hao.