Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitakuchapa sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si huwa tunanagwa wote humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sikuwa najua. But toka nimejua nikaacha kuweka pic, japo najua watu wanasave.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na waufute sema visirani niliowatag walikuwa bado hawajaingia sijui ingekuwaje leo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ningeambiwa na mimi tapeli nawaita wakatapeliwe, ningesuuzwa bila sabuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuzagamua, ila nimewahi kuzagamuliwa.
Sijawahi kua na manzi, ila nna ba tamu.

Sio kukata, nataka nikanyofoe na kufanya surgery nibebe mimba niwe mama watoto.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂
 
Nilijua tyuu atakufikia ni suala la muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpishi ana viungo vyote kuanzia vya chai mpk mlo wa usiku. Ushindwe wewe tyuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio jamani. Huko alipo hamini macho yake, kila anachoandika kinafutwa. Na ndege wewe unapeperuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee mwenyeji kabisa, kwanza kama nakufananisha. cocastic au Lamomy Wakija watapiga ramli chonganishi. Lazima tuijue hadi ID yako ya zamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] luv una nn lakiniii? Nimecheka had baas.
 
Bonyokwa beibeyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nna wivu sana ujue naomba hiyo soda itoke hapo mezani, hafu ni muhudumu huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetulia unanianza?? Kwani una shida gani na mimi?? Ujue unavuka misingi ya kiumeni.

Wewe unitoe mlio mimi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha ngendembwe zako, waambie walokutuma Lamomy chama kubwa km Arsenal sawa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom