Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Toka lini? 😂
Ww mmependezana na coca na hizi punch zenu mi nasikia burudani
Acha dharau, Huyo ni mwanaume, nashangaa sana nini kilimkuta..
Sasa nshakuambia nakukubali wewe... achana na coca, mi nakupenda wewe kwa hio unasemaje..
 
Acha dharau, Huyo ni mwanaume, nashangaa sana nini kilimkuta..
Sasa nshakuambia nakukubali wewe... achana na coca, mi nakupenda wewe kwa hio unasemaje..
Lete uthibitisho km yy mwanaume?
Unampendaje mtu usiyemjua?? Una uhakika gani km mimi ni yule unayemfikiria? Km mjomba yako 😂😂😂😂
 
Lete uthibitisho km yy mwanaume?
Unampendaje mtu usiyemjua?? Una uhakika gani km mimi ni yule unayemfikiria? Km mjomba yako 😂😂😂😂
Achana na huyo shoga..
Mi nipo na wewe, nshakuambia nakuelewa, masuala ya kukufahamu na kutokukufahamu ni mbele kwa mbele, kwa hio unasemaje mrembo?
 
Back
Top Bottom