Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,623
- 23,200
vile unaruka kamba kwanguvu ivoMbn unacheka mtoto mzuri
vile unaruka kamba kwanguvu ivoMbn unacheka mtoto mzuri
😆😆😆😆 hako kaboy kako sijui kama akili zake ziko sawa. Mtoto wa kiume aone aibu, hata watu hawamuoni, hawamjui. Anashindwa kusema niyeye. Kishapoteza uaminifu. Au umemtuma hiyo laki, mrembo wewe 🤣🤣🤣🤣🤣acheni kumnanga kaboy wangu 🤣🤣🤣🤣 nmemwambia asipontumia laki leo nambwaga shenz type 😂😂😂
afanyaje sasa na kanitaka niende na hana nauli 😂😂🤣 nauli ni 10k ila nmemwambia atume 100k ,coz gari za huku ni mbovu anything can happen 😂😂😆😆😆😆 hako kaboy kako sijui kama akili zake ziko sawa. Mtoto wa kiume aone aibu, hata watu hawamuoni, hawamjui. Anashindwa kusema niyeye. Kishapoteza uaminifu. Au umemtuma hiyo laki, mrembo wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Ambao hatutumiii vilevi tufocus kwenye zile saa sita
Muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio jamani. Huko alipo hamini macho yake, kila anachoandika kinafutwa. Na ndege wewe unapeperuka 😅😅😅😅afanyaje sasa na kanitaka niende na hana nauli 😂😂🤣 nauli ni 10k ila nmemwambia atume 100k ,coz gari za huku ni mbovu anything can happen 😂😂
Uwiii kuitwa mtu wa nyanda za juu sio powa huko wanatafuna popi sio powahvile unaruka kamba kwanguvu ivo
hata najali sasa 😆😆hua ananisukumia masaa 3 kwanin hua hanionei huruma mtoto wa mwanaume mwenzieMuonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio jamani. Huko alipo hamini macho yake, kila anachoandika kinafutwa. Na ndege wewe unapeperuka 😅😅😅😅
sio njombe bwana wew,,popi ni iringaUwiii kuitwa mtu wa nyanda za juu sio powa huko wanatafuna popi sio powah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wewe ni ka kichaa sikuwa najua. Umenifanya nicheke jioni hii, asante.hata najali sasa 😆😆hua ananisukumia masaa 3 kwanin hua hanionei huruma mtoto wa mwanaume mwenzie
umeanza kunitusi mtoto wa mwanamke mwenzio 😂😂utajulia wapi namimi nimejoin leo jf🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wewe ni ka kichaa sikuwa najua. Umenifanya nicheke jioni hii, asante.
Wale wale tu tofauti ni ndogo ndogosio njombe bwana wew,,popi ni iringa
🙆🏾🙆🏾🏃🏾♀️🏃🏾♀️🙌🏾🙌🏾Wale wale tu tofauti ni ndogo ndogo
hakuna namnaAmbao hatutumiii vilevi tufocus kwenye zile saa sita
😂😂😂 Kweli winga umeshikwa safari hii!!Mahari ipo standby yy tu
Si useme sasa mbona unazunguka??we ungeweza 😂😂😂
Una macho makali 😄Ambao hatutumiii vilevi tufocus kwenye zile saa sita
Mhmm!! Uwongo 😂😂😂Mm wa kaskazini bn sema npo na watu wa huko mastory kibao ndo waliniandikia hicho kikwenu
Akhu!!we mpangwa nini🤣🤣🤣