Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend yako ya moto, km nakuona mbilinge zako..!! Huko kwa ba tamu unapikaga??

Mbona km umenitamanisha nitafute safari na mimi nipotee mpk j3!!
Ngoja nifanye jambo, tupotee wote. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu mie ndo mama mjengo, nisipike tenaa? Aweeeeh.
Ba tamu lazima ale masapta sapta kutoka ktk mkono wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguu mie ndo mama mjengo, nisipike tenaa? Aweeeeh.
Ba tamu lazima ale masapta sapta kutoka ktk mkono wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeachiwa sasa 😂😂😂
Nifundishe na mimi kupika uduguu wangu
 
Kaa kwa password mjini jf ohhh 😂😂😂
Humu wanasubiri ujimix wakuletee mafile yako
ukiskia kichwa maji ndo hii sasa🤣😂 Yaani mji ambao sijulikani kisha niteseke hapana kwakwel
 
Hivi toka uzaliwe hujawahi kuzagamua? hujawahi kuwa na manzi? sasa si ukakatwe tu hilo naniliu, huna kazi yeyote unafanyia...?
Sijawahi kuzagamua, ila nimewahi kuzagamuliwa.
Sijawahi kua na manzi, ila nna ba tamu.

Sio kukata, nataka nikanyofoe na kufanya surgery nibebe mimba niwe mama watoto.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo ndio muhimu, abaki home muda wake umepita bana [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kuna michezo ya vijana, nikikuonyesha mbele yake ataanza mdomo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una uthibitisho??
Ila ww kweli unamkubali coca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo hapindui kwangu, em nishawishi nijiweke kwake, vipi hafai kuwa shem wako?
 
Toka lini? [emoji23]
Ww mmependezana na coca na hizi punch zenu mi nasikia burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kweli, nataka nimtulize huyu baba.
Tumependezana?? Sema bas uduguu.
 
Lete uthibitisho km yy mwanaume?
Unampendaje mtu usiyemjua?? Una uhakika gani km mimi ni yule unayemfikiria? Km mjomba yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii khaaaah
 
ukiskia kichwa maji ndo hii sasa🤣😂 Yaani mji ambao sijulikani kisha niteseke hapana kwakwel
Nashangaa wanaojianika humu ulimwengu wa fake ids!!! Humu usijulikane na yeyote mahi, kitumbili kimoja kikikujua tyuu kitaanza hekaheka km mwali aliyelipiwa mahari sasa bwana kachelewa kumfata hizo fujo zake 😂😂😂😂
 
Achana na huyo shoga..
Mi nipo na wewe, nshakuambia nakuelewa, masuala ya kukufahamu na kutokukufahamu ni mbele kwa mbele, kwa hio unasemaje mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo maana unaishia kuchukia watu, tatizo unakurupuka.

Shoga mwenye mume wake mjiniiii, wee huogopiiiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hatariiii, kwan imekuajeee?
 
Kantibua mpk nilitamani Max angeweka sehemu ya voice note nimcharure..!! Katupotezea muda wetu kumuombea msaada kumbe sio muaminifu.
Sasa alivyokuwa anasema rafiki yake kumbe ni yy mwenyewe?? Nimemwambia had hapo husaidiki ng’o
Kwani imekuajeee??
 
Back
Top Bottom