100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,178
- 36,373
Si bora ungenibania hata pesa..Nikubanie ni pesa hizi?? Hafu ww nishakujua
Si bora ungenibania hata pesa..Nikubanie ni pesa hizi?? Hafu ww nishakujua
Nasubiria wifi hiyo pic 😂😂😂unataka unitambulishe kwa mwingine sio😂😂😂nini unanikomalia ivi
Yeah humu tu😂😂😂😂 humu tuuh
Wenye uzi wao wamerejea hahahahaMmeanza tena kwa kweli mmeshindikana 😁😁😁
Wee mr likes hebu Tumuone mpiga picha pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Mahondaw warrraaaaapWee mr likes hebu Tumuone mpiga picha pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Sie wanywaji hapo 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋!
Baadaye Mahondaw na wewe nakupa assignment utupie mgongo huo baadae 😋Wozzzzzaaaaappp mr likes. Fanya manuva 🤳 weekend Yangu iende vyediii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz...!
Nakupendea hapo tuu Mahondaw 😄🔥🔥🔥Hio badae kwioooo mfyuuu! Ole wako unidanganye sasa!
Mie trena selfika addict sema jingineee mgongo tu Limeisha hilooo
kumbe ndo zako kuniuza kwa kaka zako 😂😂😂 kwani unalipwa shingap wiiNasubiria wifi hiyo pic 😂😂😂
Naona kaka yangu mwingine Mpaji Mungu anakulia mingo
Gotcha 🔥Usizingue 🤳🤳 yako kwanza lakiniii That's a condition!
😂😂😂 hamna wifi yoyote utakayekuwa naye sawa tyuu!! Wote famkumbe ndo zako kuniuza kwa kaka zako 😂😂😂 kwani unalipwa shingap wii
sema sasa ninaemtaka hanitaki😂😂ngoja nipambane nikishindwa nitakuomba msaada wifi,,yan wewe kwa namna yoyote lazima uje kua wifi seriously 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hamna wifi yoyote utakayekuwa naye sawa tyuu!! Wote fam
Weeh yupi huyo? 😂😂😂sema sasa ninaemtaka hanitaki😂😂ngoja nipambane nikishindwa nitakuomba msaada wifi,,yan wewe kwa namna yoyote lazima uje kua wifi seriously 😂😂😂😂😂😂
yupo yani nmemuandika kwenye karatasi namkanyaga kila siku nimmiliki lakin wapi😂😂😂Weeh yupi huyo? 😂😂😂
Kumbe yupo unayemtaka??
Kantibua mpk nilitamani Max angeweka sehemu ya voice note nimcharure..!! Katupotezea muda wetu kumuombea msaada kumbe sio muaminifu.@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...