raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,841
- 36,870
Alafu dk fupifupi kama kuku vile 🔥🔥🔥Hatareee 😂😂😂
Alafu dk fupifupi kama kuku vile 🔥🔥🔥Hatareee 😂😂😂
Ww umeanza, simu hazipokelewi na leo? 😂😂😂Alafu dk fupifupi kama kuku vile 🔥🔥🔥
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!! Ni yeyeeee.Mwanaume kuwa mbea hata haipendezi, ww unajiona uko sawa?? Unabishana na ex wako hii kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya lete huo udraaku ila tuwaombe mods mapema wasitupe ban. Halafu mimi dhaifu na mpweke?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ww ndo uliyekuwa unanitoa huo upweke?? Em tulia Mh unajishusha vyeo na unaidhalilisha Arusha
Hahhahahahahahahahaaaaa 😆Ww umeanza, simu hazipokelewi na leo? 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipigie makofi umeshinda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kantry bana!! Unajua tushagombana kitambo hukoooooo mwaka ushapita. Hapa kila nikijitahidi nikuchachue naona [emoji533] yako nalegea nahairisha [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo upo hapa kwaajiri ya kutoa siri zetu?? Haya zitoe zote usiache hata moja yani zote toa.!!
Halafu mbona umenikalia kooni nini mbaya??
Yy nani? 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!! Ni yeyeeee.
Mtasema yoteee leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unipoteze umekuwa watu wasiojulikana?? Kantry unanichosha bana!! Halafu sijisikii kujibizana na wewe hizi taarabu zako
Uduguu lala yashapita hayo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiiiiii hukuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
😂😂😂 rudi kalale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Coca lalaJamaniiiiiii hukuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiii!! Hebu mlete akiwa full huyo rafiki yangu.!! Ndo walivyokudanganya huko pm wanakojadili watu?? Sijawahi kuwa na rafiki wa saloon. Circle yangu wote wakulima mahi..!!
Watoto wadogo hao 😄raraa reree wamepata la kufutia machozi scot huku 😔
Hawa maboya ujue wamejifunga wenyewe 😂😂😂Watoto wadogo hao 😄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!!Mtandao bana, sijakublock beibeeyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mbona tukiwa tunaongea kwa muda mrefu voda wanatukatia umesahau??
Hasira bana huwezi kufa beibeeey wangu, ntabaki mjane ujue [emoji17][emoji17][emoji17]
Mwah [emoji8][emoji182]
Njoo tubet Euro imeanza
Tumewaachia goli moja watoto wadogo 😄Hawa maboya ujue wamejifunga wenyewe 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na kitambi unacho[emoji1787][emoji1787]we upigwe tu risasi ya tumbo upepo uishe huo