Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...
Halafu hujanimalizia story nawe dada ile ya kunangwa picha zetu 😂😂😂😂
Bora tujadili haya kuliko waomba misaada ni matapeli tu.
 
Kantibua mpk nilitamani Max angeweka sehemu ya voice note nimcharure..!! Katupotezea muda wetu kumuombea msaada kumbe sio muaminifu.
Sasa alivyokuwa anasema rafiki yake kumbe ni yy mwenyewe?? Nimemwambia had hapo husaidiki ng’o
Yaani mimi mbona sasa nimekoma kusaidia watu 🙌🙌🙌🙌 sasa kajiharibia, kila uzi wake wanamfutia. Aende tu kwa mbunge wake au akaombe kwwnye media tena.
 
Halafu hujanimalizia story nawe dada ile ya kunangwa picha zetu 😂😂😂😂
Bora tujadili haya kuliko waomba misaada ni matapeli tu.
Nitakuchapa sasa hivi 😂😂😂😂 si huwa tunanagwa wote humu 😁😁😁😁😁😁 sikuwa najua. But toka nimejua nikaacha kuweka pic, japo najua watu wanasave.
 
Yaani mimi mbona sasa nimekoma kusaidia watu 🙌🙌🙌🙌 sasa kajiharibia, kila uzi wake wanamfutia. Aende tu kwa mbunge wake au akaombe kwwnye media tena.
Na waufute sema visirani niliowatag walikuwa bado hawajaingia sijui ingekuwaje leo?? 😂😂😂😂
Ningeambiwa na mimi tapeli nawaita wakatapeliwe, ningesuuzwa bila sabuni 🤣🤣🤣
 
Siku zote huruma huwa inaponza, sema mtu ukiwa na huruma hukomi,hujifunzi. Kuna uzi wa kutaja waganga wa kienyeji 😃😃😃😃 hujawahi kwenda kuroga upate mume? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nitakuchapa sasa hivi 😂😂😂😂 si huwa tunanagwa wote humu 😁😁😁😁😁😁 sikuwa najua. But toka nimejua nikaacha kuweka pic, japo najua watu wanasave.
Bora na wewe unangwe uone true colors za watu 😂😂😂😂
Huko pm kuna mi story mingi ya kutungiwa, acha tyuuu.!! Hafu mpishi ni mmoja anasambaza hizo mbanga.
 
Siku zote huruma huwa inaponza, sema mtu ukiwa na huruma hukomi,hujifunzi. Kuna uzi wa kutaja waganga wa kienyeji 😃😃😃😃 hujawahi kwenda kuroga upate mume? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko wapi huo uzi?? Tatizo hao waoaji ndio wajua vilinge vya waganga, utamrogaje kwa mfano?? Badala ya kumroga yy akupende, unaanza kumpenda wewe 🤣🤣🤣🤣
 
Bora na wewe unangwe uone true colors za watu 😂😂😂😂
Huko pm kuna mi story mingi ya kutungiwa, acha tyuuu.!! Hafu mpishi ni mmoja anasambaza hizo mbanga.
Mpishi mkuu hatari sana. Jamani jamani hii dunia acha tu.
 
😂😂😂 Hata usitumie nguvu kubwa.
Wala sio vibaya kuzaliwa huko, hakuna anayejichagulia kabila la kuzaliwa.
Mimi mbona kabila langu tunapondwa wachawi na tunatoa makafara ila hunikuti najikataa?!! Tena ndo niko so proudly nalo
Mm wa kaskazini bn sema npo na watu wa huko mastory kibao ndo waliniandikia hicho kikwenu
 
@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...
acheni kumnanga kaboy wangu 🤣🤣🤣🤣 nmemwambia asipontumia laki leo nambwaga shenz type 😂😂😂
 
😂😂😂 Hata usitumie nguvu kubwa.
Wala sio vibaya kuzaliwa huko, hakuna anayejichagulia kabila la kuzaliwa.
Mimi mbona kabila langu tunapondwa wachawi na tunatoa makafara ila hunikuti najikataa?!! Tena ndo niko so proudly nalo
we mpangwa nini🤣🤣🤣
 
IMG_4607.jpeg
 
Back
Top Bottom