Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Bi Mkubwa mpole sana hana maneno kabisa so tutakutuliza😅Bi mdogo lazima ntaanzisha vurugu, nna wivu sana. 😂😂😂
Bi Mkubwa mpole sana hana maneno kabisa so tutakutuliza😅Bi mdogo lazima ntaanzisha vurugu, nna wivu sana. 😂😂😂
sina tako la kufanya kijora kibinuke😂😂😂Itakubidi uanze sa mimi ntakula wapi? 😂😂😂
😂😂😂 kwangu atayapata maneno sina utulivu kabisaa.!!Bi Mkubwa mpole sana hana maneno kabisa so tutakutuliza😅
Lipo bana wifi utakimodoa kwenye ngongingo ili kibinuke 😂😂😂sina tako la kufanya kijora kibinuke😂😂😂
Kujishaua kote kumbe mnyalukolo 😂😂😂Kamwene ulamwike yuve . Mahali senga dzilinga..?
tumia picha ya jana,,😂😂😂😂Lipo bana wifi utakimodoa kwenye ngongingo ili kibinuke 😂😂😂
Weka picha ili nikupe muongozo pa kurekebisha
nakwambia kumbe huku ni wengi ila wameuchuna tu😂😂😂vile tu id fake uskute tushawah onanaKujishaua kote kumbe mnyalukolo 😂😂😂
🤣🤣🤣Hata siku Moja haiwezekaniKujishaua kote kumbe mnyalukolo 😂😂😂
😂😂😂😂 Nyalulenge huyooo🤣🤣🤣Hata siku Moja haiwezekani
Mnyalu mwenyw
Sitaki, nataka mpya 😂😂😂tumia picha ya jana,,😂😂😂😂
Wakifika mjini wanakataa makabila yao 😂😂😂nakwambia kumbe huku ni wengi ila wameuchuna tu😂😂😂vile tu id fake uskute tushawah onana
Kwa kujifariji mpo vzrnakwambia kumbe huku ni wengi ila wameuchuna tu😂😂😂vile tu id fake uskute tushawah onana
Nawaza namna ya kukuelewesha bila kuonekana najitetea....ila mm sio wa huko😂😂😂😂 Nyalulenge huyooo
Kumbe nyie ndo mnamaliza kina papi kitaa
Basi Bi Mkubwa atabaki home😂😂😂 kwangu atayapata maneno sina utulivu kabisaa.!!
Hivi toka uzaliwe hujawahi kuzagamua? hujawahi kuwa na manzi? sasa si ukakatwe tu hilo naniliu, huna kazi yeyote unafanyia...?Uduguuu leo naenda kwa ba tamu, ko kuanzia jion sitakua JF had J3 asubuhi.
[emoji178][emoji178][emoji178]
nna mimba tumbo kubwa😂😂Sitaki, nataka mpya 😂😂😂
sasa apo tumejfariji wapi sieKwa kujifariji mpo vzr
wasamehewe buuureeee 😂😂Wakifika mjini wanakataa makabila yao 😂😂😂
😂😂😂 Hata usitumie nguvu kubwa.Nawaza namna ya kukuelewesha bila kuonekana najitetea....ila mm sio wa huko
Hilo ndio muhimu, abaki home muda wake umepita bana 🥰🥰🥰Basi Bi Mkubwa atabaki home