Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaaa mbona muoga hivyo mtani? Yani unafunika mpka mdomo...uwanjani utaenda kweli jmosi... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Haendi kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban [emoji16]tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.[emoji15]kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna[emoji16]
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu[emoji3059]

Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea [emoji16]View attachment 2912635
Sioni pichaa,
Unapika nn chibongeee?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban 😁tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.😳kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna😁
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu🥰

Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea 😁View attachment 2912635

Aunty abiria una vidole vizuri vya kubebea glass ya wine 😍
 
Back
Top Bottom