EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,310
- 13,955
Inavutia sana ,tatizo sukari.Nasimama na mkomavu Janabi.
Inavutia sana ,tatizo sukari.Nasimama na mkomavu Janabi.
Dakika sifuri sis naedit mapengo yangu😂😂😂😂😂😂Weeeeh thubutu😂😂😂
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😂😂😂😂 kwamba siku zote hujui mi ndio nilikuwa cute wife??? Ile username kuna mtu alifungua ss hivi, anajiita hivo, baada ya mods kuomba waifute sababu ya hekaheka za waja.
Ila huyo anayejiita cute wife ss hivi sio mimi, kuna mtu mwingine anajiita hivo
Nangoja ccyDakika sifuri sis naedit mapengo yangu
Hahah!Inavutia sana ,tatizo sukari.Nasimama na mkomavu Janabi.
Humu Nimeona kuna Cute wife joined juzijuzi tu uduguuu ndio waliiunga Moja kwa moja???😂😂😂😂 kwamba siku zote hujui mi ndio nilikuwa cute wife??? Ile username kuna mtu alichukua ss hivi, miuuu ile panajiita hivo, baada ya mods kuomba waifute sababu ya hekaheka za waja.
Ila huyo anayejiita cute wife ss hivi sio mimi, kuna mtu mwingine anajiita hivo
😂😂😂😂 mvua zimeanza ukalime shemeji anakuita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann wee mkorofi sanaaa?
Baada ya kuongea na mods khs id yangu ya cute wife kuunganishwa na penseli, ikabidi waniambie mimi niendelee na hii ila ya cute wife wanaifuta…… ila sijui nani uko kafungua id mpya kajiita cute wife naona aliipenda username yangu ila sio mimiHumu Nimeona kuna Cute wife joined juzijuzi tu uduguuu ndio waliiunga Moja kwa moja???
Dohh!Baada ya kuongea na mods khs id yangu ya cute wife kuunganishwa na penseli, ikabidi waniambie mimi niendelee na hii ila ya cute wife wanaifuta…… ila sijui nani uko kafungua id mpya kajiita cute wife naona aliipenda username yangu ila sio mimi
Pole ndio maisha kupambana uduguu wangu 🥰🥰🥰🥰[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima unimic, mie ndo uduguu wako humu JF.
bhana nilikua huko maporini, si unajua life ni kufight.
Popote kambi.
Nipo ccy
Karangi kazuri.View attachment 2912357
Niendelee kunywa maji mengi ama niache😁🤪
Antonnia siamini hiki umefanya rafiki