Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_0371.jpeg

Kitu hicho kipenzi cha wengi❤️
 
Ww bwana unaye unammiliki sijui kwann hutulii mahi wangu??!
Ukimwi na gono humu si lilikuwa kwa miongozo na wake zake!!! Lini mimi nilimuambukiza kantry ukimwi tena
Ila unajitahidi shosti, hebu tulia unywe maji kwanza
Unajua bado nashindwa nimjibu vp aisee
 
Jamaniiii naombaaa ufungukeee zaidi, kumbe mjep na tinsley walikua wananinanga huko mlimani city?

Hebuu sema yoteeeee, nasemajeee hebu fungukaaa nijue kulikoniiii.

Jamaniiiiiiii kumekuchaaa hapaaaa.
😂😂😂😂 kumbe uzi ulianza kuchachuka muda mi sikuona
 
Back
Top Bottom