Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawewe ulimuambukiza Basha wako Ukimwi Shahidi Pinkman unabisha!??
Unamsema Depo kumbe nawewe ni kipimbi. Nacheka sana
Umechemka aisee na nakupa pole alafu kukumaliza kabisa leo toka asubuhi na lamomy tulikua na discussion ya mahari, sasa sijui hali yako itakuaje aisee
Screenshot_20240222-171053_1.jpg
Screenshot_20240222-171216_1.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ww bwana unaye unammiliki sijui kwann hutulii mahi wangu??!
Ukimwi na gono humu si lilikuwa kwa miongozo na wake zake!!! Lini mimi nilimuambukiza kantry ukimwi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila unajitahidi shosti, hebu tulia unywe maji kwanza
Unajua bado nashindwa nimjibu vp aisee
 
Jamaniiii naombaaa ufungukeee zaidi, kumbe mjep na tinsley walikua wananinanga huko mlimani city?

Hebuu sema yoteeeee, nasemajeee hebu fungukaaa nijue kulikoniiii.

Jamaniiiiiiii kumekuchaaa hapaaaa.
😂😂😂😂 kumbe uzi ulianza kuchachuka muda mi sikuona
 
Back
Top Bottom