Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,504
- 95,027
Na akikomalia jambo sasa utasema analipwa 🤣🤣🤣Uzuri shemeji alishabariki huna ubavu wa kupangua
Hapa ananilazimisha kila siku nichukue kadi ya CCM na nilivyo siwapendi mbogamboga 😂😂
Na akikomalia jambo sasa utasema analipwa 🤣🤣🤣Uzuri shemeji alishabariki huna ubavu wa kupangua
😂😂😂😂😂😂Na akikomalia jambo sasa utasema analipwa 🤣🤣🤣
Hapa ananilazimisha kila siku nichukue kadi ya CCM na nilivyo siwapendi mbogamboga 😂😂
Muongo wewePale mwanjelwa unashuka na ile barabara ya vumbi😀
Mwaka huu umeanza moto na magauni meusi🙌🏿
Lejea hiyo sentensi yako ya (MPITA NJIA) utaelewa kwa nini skuhitaj msaada wa MPITA NJIA kama sentensi yako inavyosemaKwahiyo hata kumuita mpita njia akusaidie ulishindwa shem? 😜
Leo hujala nguyai maana sijaona picha leo nione kama vitunguu vimeivaMuongo wewe
Barabara ya vumbi wapi
Kwahiyo huko unaishi peke yako?? 😳Lejea hiyo sentensi yako ya (MPITA NJIA) utaelewa kwa nini skuhitaj msaada wa MPITA NJIA kama sentensi yako inavyosema
ShikamooKwahiyo huko unaishi peke yako?? 😳
Siwezi hata kidogo 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Utachukua utake usitake
Nimemiss sana uwepo wake jukwaa la siasa, huku kwenye umbea mnamlazimisha tu, siyo hadhi yake huku.
Marhaba hujambo?Shikamoo
Kwahiyo huko unaishi peke yako?? 😳
Kijamii siishi peke yangu naishi na watu Bt kimaisha bado niko peke yangu.Kwahiyo huko unaishi peke yako?? 😳
Sawa shemeji nimekuelewa pole sana.!!Kijamii siishi peke yangu naishi na watu Bt kimaisha bado niko peke yangu.
Sijambo. Leo niko naked hapa na valentine wangu😂 tunawapa Hi no emoj dadaqMarhaba hujambo?
🤣🤣🤣🤣Sijambo. Leo niko naked hapa na valentine wangu😂 tunawapa Hi no emoj dadaq
Saint Anne Tayana-wog
View attachment 2901935
Sina hata mkopo kwa mangi sasa nijifiche kwaa nini 😅 kwani mimi ni mhalifu!?🤣🤣🤣🤣
Hamuogopi nyoka uko vichakani 🤣🤣🤣Sijambo. Leo niko naked hapa na valentine wangu😂 tunawapa Hi no emoj dadaq
Saint Anne Tayana-wog
View attachment 2901935
Na mimi nataka cake 🤗Hii cake nilipanga nimpe zawadi Tayana-wog kipindi cha bday yake nikala ban 😂😂😂
Joannah sisy naomba nikupe cake ya valentine 😍😍😍
Anne mtengenezee da Joa cake
Nyoka ni msosi wenye protin nyingu sana. Ajichanganye tu atajua hajuiHamuogopi nyoka uko vichakani 🤣🤣🤣
Sawa kakaSina hata mkopo kwa mangi sasa nijifiche kwaa nini 😅 kwani mimi ni mhalifu!?