Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_4532.jpg

 
Anamwamini sana mwanamke,
Countrywide my advice. Trust a woman, but not completely, for she may turn out to be a viper hiding in the grass. Lamomy
Uko kuniua 😂
Bila hata wizzy kusema ni kweli mimi kuna vitu sivipendi na analijua hilo.!
Kwanza humu jf sipendi kujuana na mtu yoyote nje ya jf.! Mambo ya jf yanamalizika humu humu sipendi kujuana sana.!
Siwezi kuwa na wapenzi humu sababu ziko wazi, siwezi kudate na mtu ambaye ana uwezo wa kumiliki idadi nyingi ya IDs na ndiomana pm yangu imejaa wadada na story nyingi ni za umbea 😂
Ww ni mfano mzuri wa mbanga za humu, na ndo uliyetuletea story za sate sauzand, hivi bado ntakuwa mjinga nianze kujuana na watu??
Jf nzuri ukiishi bila kutaka kujuana na watu nje ya jf..! Kujuana naona ni vzr ikiwa ME kwa ME japo wengine walirudi humu wakaanza kupeana kashfa za ushoga.
Kwa sisi KE na KE hapa ndo tatizo tuna unafiki mwingi, imagine issue za pm tunasimangana huyu kasema hivi kwa huyu na yule kaongea vile hapo hatujuani, vipi tukijuana kwa macho ya nyama??
KE na ME hapo ndo siongei watu wengi wamebadili id kwa mambo km hayo, na mengine ww mwenyewe shuhuda na ulituletea hapa mambo yote.!
Ni kweli mimi sio mkamilifu ila sio kwa hapa jf sijawahi hata kuwaza kudate na mtu au watu.
 
Back
Top Bottom