Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,597
Hahahahaha, hapo mahari 10m hutakiwi kulalamika kabisaBado Vijana wakitajiwa mahari ya shilingi milioni 10 wanaanza kuomba punguzo.
Hivi hawaoni kweli mambo yalivyonoga 🤗
Ukiongeza na ile PhD si ndiyo balaa 🙌😜