Unawasingizia tuVocha zilipigwa marufuku na mods
Uzi utafungwa boss
Unawasingizia tuVocha zilipigwa marufuku na mods
Uzi utafungwa boss
🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠!
Uzi utafungwa shauri yakoWee muongo hebu tupia vocha hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa c umuaminishe na wee.Nimemwambia hajaamini muache tu shauri yake
Wee muongo hebu weka vocha hapa.Uzi utafungwa shauri yako
Mods walifungua uzi kwa mashart
Umesahau mambo ya sate sauzandi ee?Wee muongo hebu weka vocha hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa cio mlimani city plz. Hebu tupia vocha.Umesahau mambo ya sate sauzandi ee?
Boss lady Mahondaw imekwisha hiyoooUnaweka hapa picha, mie nna raha gani?
Nipe raha kwan, afu ndo ntakuruhusu uweke picha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha.Wewe si ndo uliwapelekea umbeya mods kuwa vocha zinagawiwa mlimani city na sisi watu wa mikoani
Unatatizo na mimi?Wewe si ndo uliwapelekea umbeya mods kuwa vocha zinagawiwa mlimani city na sisi watu wa mikoani
Kuna pdf ndeeeefu ilienea kila mahaliUnatatizo na mimi?
Una ushahidi wa hii kauli yako?
Tajiri na vocha zako nazo nilizua balaa zito humu mbona hawakuongelei?? Eti huwa unapata totoz Sababu ya vocha humu??
Hahahahahaha...huwa mnaanzaga hivi hiviUnatatizo na mimi?
Una ushahidi wa hii kauli yako?
Jibu maswali yangu twende sawa.Kuna pdf ndeeeefu ilienea kila mahali
Weee uongoo mr voucher Tupia foto yakoo banaaaVocha zilipigwa marufuku na mods
Uzi utafungwa boss
Walikua na wivu tuTajiri na vocha zako nazo nilizua balaa zito humu mbona hawakuongelei?? Eti huwa unapata totoz Sababu ya vocha humu??
Hahahahahaha..Kuna pdf ndeeeefu ilienea kila mahali
Hahahahahaha...hahahahahahaVocha zilipigwa marufuku na mods
Uzi utafungwa boss