Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,566
Bro lamomy huwa anafanya kusudi sana huyu, kuna nn tena maana nilikua nimetoka kidogoChief nani anatumia ID yako leo?
Bro lamomy huwa anafanya kusudi sana huyu, kuna nn tena maana nilikua nimetoka kidogoChief nani anatumia ID yako leo?
Nimekubali kushindwaWe si ulitaka ligi mbebe mwari kireja reja umeona omulasil kakuchania mkeka![]()

safiiii.... yani kati ya siku umeongea point ni leo,,achana na wafitini wasiotaka urafiki wako na bia uendelee😂😂😂😂😂😂
Napiga bia kama wewe
limeishaa hilooo...tutaanzia kifuru G7 turudi na barabara mpka tuimalize tabataTarehe 20 nitakuwepo mjini nitakucheck. Unipeleke na Tabata
Bro lamomy huwa anafanya kusudi sana huyu, kuna nn tena maana nilikua nimetoka kidogo




tafuta maokoto jiji likijinga hili kila siku wanafungua kiwanja kipyaSiku hizi nimekua mgeni machimbo hata ya hapo Mbezi siyajui namna mji nimeuacha
nipoo mkuu...nimerejeaaa, kwemaa lakiniOya we mangi hivi upo?
kesho mapema tu nikiwa bar napata supu nikumbusheeOngeza kwanza yako moja kijana wa hovyo. 🙂
sikutegemea kama huu mwaka ningependa ila najiona kabisa naanza kupenda tena daaaaa........yataniuaa
🤣🤣🤣🤣sikutegemea kama huu mwaka ningependa ila najiona kabisa naanza kupenda tena daaaaa........yataniuaa
Naomba tusipotoshe hili mimi ndio niliomba mada ifunguliwe wala haina uhusiano wowote na hicho ulichoandikaMmekuwa wapya baada ya Kikao na safari ya serengeti. Hii sio dalili nzuri kwani muda si mrefu mtaanza fichua ID zetu.![]()
Patroo / prezidaa naona yuko na mamsapu yake