Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,847
Kwahiyo na wewe ndo unataka kuforce kumchukua mdogo wangu??? 😂😂😂Haahahaa. Wee si umeshaolewa na Kantri tena kijeda jeda sanaaaa😂
Mwambie mshenga wako hampati mke
Kwahiyo na wewe ndo unataka kuforce kumchukua mdogo wangu??? 😂😂😂Haahahaa. Wee si umeshaolewa na Kantri tena kijeda jeda sanaaaa😂
HhhahaaaaKwahiyo na wewe ndo unataka kuforce kumchukua mdogo wangu??? 😂😂😂
Mwambie mshenga wako hampati mke
Hahaaaaa mchawi mstaafu nae anatupia michomo mikali.Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Dada mkubwa ndo nshasema hivo..!!Hhhahaaaa
Mulasil kaniangusha sanaBado tunaijadili posa ya mulasil kwahiyo hakuna uhakika wa kupata mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Familia hatujatoa majibu ilo muweke akilini
Pole sana huamini unachokiona..?? 😂😂😂😂Ila mmenichanganya tayari
Mdogo wako anacheka hapa. Ananiambia dada mzoee. Nilianza kuogopa. Sijui uongee nae? Au a chat kwa akaunti yangu?Dada mkubwa ndo nshasema hivo..!!
Mpe taarifa na mshenga wako 😂😂😂
Siku nyingine usiweke battle na mimi sawa..??? 🤣🤣🤣🤣🤣Mulasil kaniangusha sana
Hatoi kabisa ushirikiano, ikiwa jana tu ametoka kuniambia hili
Mulasil ni either hampendi tayana au anamuogopa, alichoniambia jana na nachoona leo tofautiPole sana huamini unachokiona..?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Mwambie atoke uko kabla sijachuma fimboMdogo wako anacheka hapa. Ananiambia dada mzoee. Nilianza kuogopa. Sijui uongee nae? Au a chat kwa akaunti yangu?
We si ulitaka ligi mbebe mwari kireja reja umeona omulasil kakuchania mkeka 🤣🤣🤣🤣Mulasil ni either hampendi tayana au anamuogopa, alichoniambia jana na nachoona leo tofauti
Hapa na Nairobi si naenda kwa mguu tu? Siku nikienda nitaomba koneksheni 😂Itakua ni huu mkaa nlonunua Nairobi!🤣🤣🤣🤣
Embu tupia kwanza nifurahi!