Mimi hapa.Mawaa unakwama😜View attachment 3671696@Signoradellap
Hivi mnapataje hivi vimwili😁 kuna ww win chica na tayana kwahiyo mimi nakula sana au😫
We yako ikowapiMnaselfika au mnachatika?? Mbona sioni picha
Unyamaa😁Sijawahi ingia uku kumbe unyama sana
Huwezi amini nilikuwaga kibonge😁,,lkn kwasasa sitaki ubonge,Hivi mnapataje hivi vimwili😁 kuna ww win chica na tayana kwahiyo mimi nakula sana au😫
Nimeghairi kupita🚶🏽♀️
Ulifanyaje fanyaje hadi ukaisha lohhHuwezi amini nilikuwaga kibonge😁,,lkn kwasasa sitaki ubonge,
Nilivyopatwa na shida ya moyo,ukapukutika.Ulifanyaje fanyaje hadi ukaisha lohh
🤣🤣huku photo ni view onceMnaselfika au mnachatika?? Mbona sioni picha
Pole sana niliona ile siku umeandika aisee Mungu akuponye dearNilivyopatwa na shida ya moyo,ukapukutika.
Mungu ni mwema kwasasa,,naogopa hata kwenda kucheck tena😁😁😁,,,,sitaki stress.Pole sana niliona ile siku umeandika aisee Mungu akuponye dear
Usiogope bwana ni heri ujue afya yako inaendeleaje!Mungu ni mwema kwasasa,,naogopa hata kwenda kucheck tena😁😁😁,,,,sitaki stress.
Dahh pole bado mdogo sana kupitia hayo!Moyo,hapana😁,,,dakika tu unakata moto,,,,,,
Nipo safi,kufuata masharti tu.
Mbona kama naijua hii id🤔
Mie mbona naijua ID yako Mbona kama naijua hii id🤔
Umeijuaje?Mie mbona naijua ID yako
Huwa naiona humu Jf na huwa kuna mda ina laiki na kulaikianaUmeijuaje?