Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,438
- 94,867
😂😂😂😂Tuone basi ☺️
😂😂😂😂Tuone basi ☺️
😂😂😂😂 Unafunga huku unabambia jirani kweli???😂 nimecheka kama chizi kaona jalala, jirani niache kufunga sio jambo jepesi na wewe hata unishtui.
😍😍😍Yeah tupia 😋😋😋😋😂😂😂😂 Sio mkono napita naked kabisaa
😂😂😂😂 Jirani unavyokazia sasa!!😋 naam jirani huyoo
Unayo hadi k/koo na ukitaka ntakuonesha😂😂😂😂😂 Jirani unaniombea mema kufumba na kufumbua nna ghorofa.??!!!
Napokea kwa jina la Yesu huenda nikapata hata ghorofa la makuti 😂
ella mai-naked 😍😂😂😂😂 Jirani unavyokazia sasa!!
Jirani nimekwambia nimefunga pombe tu 😅 naomba nieleweke hivyo.😂😂😂😂 Unafunga huku unabambia jirani kweli???
Ushapita naked au nimechelewa??🙆😂😂😂😂 Sio mkono napita naked kabisaa
😂😂😂😂 nikikwambia jirani umeamka na hangover unakataaUnayo hadi k/koo na ukitaka ntakuonesha😂
Nishapita si umeona jirani 😂😂😂ella mai-naked 😍
😂😂😂😂 Mungu anakuona jiraniJirani nimekwambia nimefunga pombe tu 😅 naomba nieleweke hivyo.
Umepitwa aiseee!! Pole sana 😂😂😂Ushapita naked au nimechelewa??🙆
Una nywele nzuri.. Nyingi zimejaa afu nyeusi!
Acha hizoo uduguuu nifanyie favor one time jamani! Nimemiss kuona foto yako Kitambo sanaaa hujatupiaUmepitwa aiseee!! Pole sana 😂😂😂
Nina mimba ss hivi nasikia uvivu kupiga picha uduguu 😂😂😂😂Acha hizoo uduguuu nifanyie favor one time jamani! Nimemiss kuona foto yako Kitambo sanaaa hujatupia
Tuna hivohivo tuone mimba ni baraka kipenzi!!Nina mimba ss hivi nasikia uvivu kupiga picha uduguu 😂😂😂😂
Labda uje tule matunda
😂😂😂😂 Wataniroga uduguu mimba bado changa hii 🤠Tuna hivohivo tuone mimba ni baraka kipenzi!!
Wee acha zako udugu hebu uubles mchana wangu jamani!😂😂😂😂 Wataniroga uduguu mimba bado changa hii 🤠
😊Una nywele nzuri.. Nyingi zimejaa afu nyeusi!