YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mmmh
Huyo tunajuana tunataniana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmh
Bro mbarali au njombe Hiyo🤔🤒Leo jioni nikiwahi kutoka Shambani nitatupia Casual, maana saivi shughuli za shamba zimenibana sana Babu yenu 🤪
Mi Tena😂🤣😂, as usual🤣😂🤒Wewe nawe jana ilikuaje?? Ulimalizaje soo lako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok nami nilijua utani,ingawa niliigopa kdgHuyo tunajuana tunataniana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teacher wa math haezi amini😂🤣😂😂
Ok nami nilijua utani,ingawa niliigopa kdg
Nilihisi mnachenjiana? Nikaona oooh hapa sasa sipoUliogopa nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikia wewe kijana nitakurudisha milembe hayaUnique Flower ni mbeya tu😂🤣🏃
Tuna popo bawa humu ananyakuwa wadada haya tena wazuri D kashaenda sasa anamnyemelea mrs wawatu na best yako haroo mutajiju .🤣🤣🤣 binti Maua
Nilihisi mnachenjiana? Nikaona oooh hapa sasa sipo
😄😄😄 woiyeeeeTuna popo bawa humu ananyakuwa wadada haya tena wazuri D kashaenda sasa anamnyemelea mrs wawatu na best yako haroo mutajiju .
Hahahaha,hizo hizo stress ,mtu anapanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu hata ukimkasirikia mtu ni kujichosha tyuu!!! Wengi tuna stress tunazipoza humu japo wengine wanachukulia serious hawajiamini.
Kwanza hatujuani fake id ukasirike kwa lipi?? Unakuta mtu anatukanana na mjomba ake bila kujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchawi huu😂🤣🤒Tuna popo bawa humu ananyakuwa wadada haya tena wazuri D kashaenda sasa anamnyemelea mrs wawatu na best yako haroo mutajiju .
Hahahaha,hizo hizo stress ,mtu anapanic
Mbarali tumeshavuna tangu Mwezi Julai, saivi niko nalima Miwa bonde la KilomberoBro mbarali au njombe Hiyo🤔🤒
Vipi heka ulizo achia mbarali, hauzi kodishi mkubwa.?Mbarali tumeshavuna tangu Mwezi Julai, saivi niko nalima Miwa bonde la Kilombero
Hi...Ukikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.