Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Nitakusubiriaš„Swadakta ,umetoa code nzuri,mie nitaanzia ,The Marz then nitakujoin wavuvi
Nitakusubiriaš„Swadakta ,umetoa code nzuri,mie nitaanzia ,The Marz then nitakujoin wavuvi
Kule kuna scheme za umwagiliajiOhhh kile Cha mpunga mbarali, mna mwagilia na water pump??
šMna fungulia scheme za maji??
Buza ni gari la Moshi ehhš¤š¤Ipo Buza huku š
Eeh halafu unashuka round about ya Kigogo utakua umefika.Buza ni gari la Moshi ehhš¤š¤
Wazee huwa hatusemi uongo Mjukuu š¤Ŗš¤Mhmm!! Uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa utaponaje hicho kichwaDawa naziogopa, ni flu inanisumbua nilipo kuna baridi na upepo mkali
Hapa nakunywa maji tu!!
Hahaha haha, sawaNitakusubiriaš„
Ugomvi wa ngumi huo kabisa!!!š°š°sasa haya ndio mambo ya nyie kugombana.. ukilala huku lazima amind
Njaa Kali bro, nataka tu heka twa kupiga mshindo kiasi ty.Kule kuna scheme za umwagiliaji
Watu wametengeneza vitalu then kuna kuwa na zamu ya kuachia maji yaingie kwenye vitali vyenu kulingana na zamu.
Ila kama una hela unaweza kuchukua eneo lolote kubwa mahari then uchimbe Kisima ufunge system ya umwagiliaji.
Ukiweza kujitegemea kwenye hili unaweza kuvuna mazao mengi wakati huu wa Kiangazi
Sh the Lakeland rmdEeh halafu unashuka round about ya Kigogo utakua umefika.
Ukikwama nipigie nitakufata hapo
Huyu mwalimu wa Mathe atakoma ššMuda wa kutoa kitu frim mwalimu wa maseView attachment 2708049
Ume nyoaaš¤£šššSaint Anne njoo uone nywele zetu!!!
View attachment 2708059
View attachment 2708058
Cc
Mzee wa kupambania
Umechelewa....š„“š„“Woooaah šš naomba uporo wangu
Dah lazima ajinyonge šš¤£šHuyu mwalimu wa Mathe atakoma šš
Muda mrefu sana....mpaka zimekua!!!šUme nyoaaš¤£ššš
Vizuriš¤,Muda mrefu sana....mpaka zimekua!!!š
Ndio mimi huyuHuyu mwalimu wa Mathe atakoma [emoji16][emoji16]