Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,110
Mkulima huyo atakua alikua anaenda kufatilia mafao yake uduguuu!!😁😁!!Babu kanyuka suti sio shida zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkulima huyo atakua alikua anaenda kufatilia mafao yake uduguuu!!😁😁!!Babu kanyuka suti sio shida zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya tangawiz..?hahaha
CHAI
Hapa niliposimama mi nakuona....geuka nyuma!!🙂Tuma location link ya google map, nije chap.
Hupendi kushiba wewe naona unapenda kushinda njaa wewe! Shambani ndio kuna mali uduguuu hebu likizo ukamtembelee babu umsamilie kwanzaa🤠🤠!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] km analima amchukue Missy Gf mimi na kilimo hapana aiseeee
Ahahhaahah hapna kunandoto inanisumbua tangu niamke
Mkulima huyo atakua alikua anaenda kufatilia mafao yake uduguuu!![emoji16][emoji16]!!
Hupendi kushiba wewe naona unapenda kushinda njaa wewe! Shambani ndio kuna mali uduguuu hebu likizo ukamtembelee babu umsamilie kwanzaa[emoji1783][emoji1783]!!
Simulia sasa tukutafsilie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeota bus linaningoojea gafla likapotea inanites
Nimeota bus linaningoojea gafla likapotea inanites
PilauUlikula chakula gani kabla ya kulala??
Ni mwenyekiti wa kitongoji bora hata kijiji lol! Likizo nakupitia twende kwa babu kumsalimia bibi amekukumbuka balaa uduguuu!!😊![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na atakuwa mwenyekiti wa kijiji
Pilau
Mweh babu mkulima wa rejareja pesa atoe wapii uduguuu!!🤠🤠😁🤠!! Kapuku tu Sema mazao na mifugo ndio kama yotre!! Naonaga anavitupia humu balaaYeye avune, akiuza anipe pesa nimuonyeshe kazi ya pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahahhha Duh af kesho nahamu yabilian ill nikila naarishaNdiomana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viungo vina gesi, tena shukuru lilikuacha kuliko lingekugonga kabisa usingeamka
Ni mwenyekiti wa kitongoji bora hata kijiji lol! Likizo nakupitia twende kwa babu kumsalimia bibi amekukumbuka balaa uduguuu!![emoji4]!
Mweh babu mkulima wa rejareja pesa atoe wapii uduguuu!![emoji1783][emoji1783][emoji16][emoji1783]!! Kapuku tu Sema mazao na mifugo ndio kama yotre!! Naonaga anavitupia humu balaa
Babu asipotaniana na wajukuu zake ataniane nanani udugu 🤠!! Babu mzunguu ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uduguu tutapewa radhi na babu sio kwa utani huo
🤣🤣🤣🤣🤣!!Tutauza Noah yake hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]