Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu yake Antonnia
Umetisha sanaa
Mlijivuta vuta kwa Mjukuu wangu hadi Mjeshi akachukua Jiko, cheki anavyong'aa utasema hapigwi na jua letu la Kibongo 🤗

Hapa nawashawishi Wazee wenzangu tuongeze mahari kwa Mjeshi, nahisi ametuzulumu wakati waku-bargain 🤪
 
View attachment 2707689

ajuza Cute Wife tia neno hapo [emoji28][emoji28]

Unikome maajuza huwajui??? Afu toka nikukatae unateseka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muone bichwa lake km treni za escape from sobibo. Hebu weka pic yako kwanza tuone ulivyokondeana na unyafuzi, kitambi km unakunywa maji ya chooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good Morning.
Salamu zilifika.. Hope all is well now... 🌹💐
National Anthem
IMG_8839.png
 
Unikome maajuza huwajui??? Afu toka nikukatae unateseka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muone bichwa lake km treni za escape from sobibo. Hebu weka pic yako kwanza tuone ulivyokondeana na unyafuzi, kitambi km unakunywa maji ya chooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hrffefuj🤣😂🤣😂😂🤔 National Anthem
 
Unikome maajuza huwajui??? Afu toka nikukatae unateseka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muone bichwa lake km treni za escape from sobibo. Hebu weka pic yako kwanza tuone ulivyokondeana na unyafuzi, kitambi km unakunywa maji ya chooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmh
 
Back
Top Bottom