Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Uchawi sio lazima ubebe tunguli🤒😂🤣🙏🙏🙏.. Pamoja mkuu..Mungu atubariki sote.. kipenzi changu Depal anakusalimu
Uchawi sio lazima ubebe tunguli🤒😂🤣🙏🙏🙏.. Pamoja mkuu..Mungu atubariki sote.. kipenzi changu Depal anakusalimu
Ndio kipenzi changu sana, ananitaa Romeo na mie namuita Julieth 😅😅😅Uchawi sio lazima ubebe tunguli🤒😂🤣
hahahaNdio kipenzi changu sana, ananitaa Romeo na mie namuita Julieth 😅😅😅
toto la kishua, ugali ndo nini😅
Watu wakipoa ulisema nikushtuehahaha
CHAI
Ugali unapanda bila shidatoto la kishua, ugali ndo nini😅
ntatuma chimbo huku jau😅Watu wakipoa ulisema nikushtue
Nasubiri😌ntatuma chimbo huku jau😅
kula ujazie jazie kidogo😋 mifupa mikavu jauUgali unapanda bila shida
Haha, unataka niwe mnene sana?kula ujazie jazie kidogo😋 mifupa mikavu jau
Una jua kupika kweli🤔🤒
mnene kwenye sehemu muhimu😋Haha, unataka niwe mnene sana?
Huyu kuku ana chumvi balaa😪kula ujazie jazie kidogo😋 mifupa mikavu jau
Chaintatuma chimbo huku jau😅
Chips za wapi hizi, mbona wamekata kubwa mno ?
KabisaUna jua kupika kweli🤔🤒
Ahddhdbnrmnene kwenye sehemu muhimu😋
Itakuwa hotel ya Kufikirika 😂Kabisa
Mtego🤣😂 Ms eyesChips za wapi hizi, mbona wamekata kubwa mno ?