Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu ukitupia unishtue basi, lile suti la kilawyer lilikutoa jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ile Suit ilimtoa poa Last born wangu eeh? 🤪

Usijali Mjukuu, nitakujulisha 🤗
 
Si ulisema ni umwagiliaji ehh??
Kilimo cha Mpunga bonde la Mbarali kinategemea Umwagiliaji.

Huku cha miwa kinategemea Mvua au kama una uwezo unaweza kutumia teknolojia ya umwagiliaji.

Wakati kile cha Korosho kule Mtwara kinategemea mvua za kawaida tu ila madawa mengi.

Kama bei ya Dollar itaendelea kupanda hivi Mwakani nitajaribu kulima Zao la Tumbaku, hawa wanalipa kwa Dollar kila mwaka
 
Ohhh kile Cha mpunga mbarali, mna mwagilia na water pump??
👉Mna fungulia scheme za maji??
 
Back
Top Bottom