Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shikamoo mr vouchaaa!!!😁!
Babu mkulima hana mbambambaa kabesaaa nawaambia kina Missy Gf na Cute Wife wakamsaidie babu kuvuna mazao wale wasaze wamenidindia banaa😂😂😁!!
Shikamoo mwenyewe boss lady
Huyu babu yako hawamfahamu hao shauri yao we wapambe waende tu kitakachowakuta watasimuliaa

Hilo neno la pili kutoka mwisho sijalisoma boss lady🙈
 
Weusi hadi maukoko kwenye Kisigino [emoji1787][emoji1787][emoji16]! Kwa sauti ya Cute Wife [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]!!
Shangaa na wee mwenzanguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoo mwenyewe boss lady
Huyu babu yako hawamfahamu hao shauri yao we wapambe waende tu kitakachowakuta watasimuliaa

Hilo neno la pili kutoka mwisho sijalisoma boss lady🙈
"Shikamoo mwenyewe"🤣🤣🤣🤣!🤣🤣!
Nimemiss macho manne mr vouchaaaa do the needful usiku Wangu uwe vizureee boss vouchaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto wa kike u shine bwana aone pa kuchomeka hata umeme ukikata bana

Afu wanawake weupe tukideka tunapendeza kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Weusi sasa bila filter na snap hawatoboi, uwakute na make up km tumbili wajane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mwanamke mweusi akiwa analia, utadhani tank LA 300mil linamwaga majii.

Woiiiiiiih
 
Asantreeeeeeeeee! Mtrotro mkareeee wewe auwiiiiiii[emoji7][emoji7][emoji7]!
Nougaaa sana uduguuu!!
Kumbe nawe una bongesa la guu la biaaaa aririrriiiiiii[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Udugu futa comment
 
Back
Top Bottom