Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
🤣🤣🤣🤣🤣 Mpe huyo amezidi kukuchokozaUnarudia matani mwone kitambi kibaya kama chasafura,umepauka kama mitishamba ya ukwaju,miguu imekomaa miembamba kama ya mbuzi halafu unamatege
🤣🤣🤣🤣🤣 Mpe huyo amezidi kukuchokozaUnarudia matani mwone kitambi kibaya kama chasafura,umepauka kama mitishamba ya ukwaju,miguu imekomaa miembamba kama ya mbuzi halafu unamatege
mwaka gani??
Yaani ila usimzoee sana atakuharibia ramani ni popo bawa🤣🤣🤣🤣🤣 Mpe huyo amezidi kukuchokoza
Hahaa umemmissnina moyo wake tu, sina hela mie
We ni mbwaa aisee🤣😂😁Kama kibamia ukiweka mate tu kinapotea mkononi mwako😂🤣🤣
The opposite is true 😅😅😅.Weee cousin Mie mtu mzimaa tena mtu mzima hovyoooo sasa lol🤣🤣🤣😊! Li mshangazi kweri kweriiii ☺️!
Hee kumbe popo bawa, itabidi nikae nae mbaliYaani ila usimzoee sana atakuharibia ramani ni popo bawa
Dah uta nivunja mbavu zangu😂🤣Yaani ila usimzoee sana atakuharibia ramani ni popo bawa
Unaseeemaaaaaaaa embu rudia tena sentensi ya mwishooo 😄Hizi pipi nilikuwa nazipenda😌🤣. Zinaisha zenyewe ukiweka mate😂
Naachaje.. ku mmiss wakati alinitoa bikra ya moyo 😊😊😊..Hahaa umemmiss
Popo bawa ndo nini huko daslam 🤒🤒Hee kumbe popo bawa, itabidi nikae nae mbali
1987mwaka gani??
Mkifurahi sio mbaya unaamka safiiDah uta nivunja mbavu zangu😂🤣
Futa mm na wiivu nataka nikusifie mm tu
mshamba_hachekwi hawezi at Elewa vipi, wakati ana penda makushabu 😁🤣😂
Weeee kumbe 🥰🥰Naachaje.. ku mmiss wakati alinitoa bikra ya moyo 😊😊😊..
Muulize Unique Flower 😂Popo bawa ndo nini huko daslam 🤒🤒
Kamba hii😁🤣😂😂1987
Ya kiargentina😁🤣😂hahaha
CHAI