Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] Mjep njoo talaka imechanwa huku, alafu baby coca anapewa vocha nyingi na baby wake [emoji17][emoji17] what about me?!!
Nataka mivoucher kwanza baby wangu una pesa [emoji12][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu unataka CW acheue?? Unamjua Mjep ana pesaa balaaaaaa, na haziishiii.

Sasa wee mpe mwenzio kazi, mtavaaaa.
 
Amkeniiiiiiiikii Amkeniiiiiiiii

Wewe Mjep ebu muamshe baby wako cocastic mnalala hadi muda huu mna raha gani?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasemaje Nasemaje

Vocha ishatumwa na baby salam zenu hizo[emoji116]View attachment 2665320
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante sana baby unawajibu kwa vitendo tu! rabbitus bro tyr huku

Nyie leo natoa yotreeeeeeeeeeeeere [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baby wako kwa kukupa vocha hapajuii??

Muambie awe anakutumia kwa muamalaa bhana, khaaah
Unaniangushaa uduguuu
 
Ulikuwa unaingiza?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeingiza ndio nikatuma unazani mimi kolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee buku 10 ipotee kilejaleja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuweziiiiiiii uduguuuuu khaaah
 
Back
Top Bottom