Thanks too,na wewe mjasiliamali mpya mjiniThank you Mjeda
HakikaMungu akubariki na kusimamia mipango yako,naamini itafanikiwa
Asante [emoji120][emoji120], mi sikutakii[emoji1787][emoji23]. Lovelovie mwambie huyu panyaa[emoji1787][emoji23]
🤨🤨🤨No longer accompanying you
Wa mchongo😂😂😂Thanks too,na wewe mjasiliamali mpya mjini
Eti Cute Wife 😛😎Ana gawaaaa huyo🤣😂😂, mpaka namuogopagaa🤣😂
Perfume zipi madamWa mchongo😂😂😂
Mnipe oda hizo jamani.
Simu ziite...keki,perfumes nk
Simu ziite.
Nimwambie kua unampenda basi tu we domo zege[emoji23][emoji23]
😅😅😅CV ipii🤔, labda ya kuwagaia mbuzi was mitaa yenu🤣😂
Kumbe upoo🤔, 🤣😂😂.
🤣🤣🤣Sijawai kugawa acha kuniharibia cv bwege wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nia yako niachike huna loloteeee kwendraaaaaa
Leo hujalala mchana?Kumbe upoo🤔, 🤣😂😂.
🤣🤣🤣🤣Kumbe ndo maana cocastic simuoni humuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wako rotana na cocastic
Muulize nilimgawia nani?!! Mwezi mchanga huyoooo vocha imemuuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu mbahili kama mfuko wa saa, Na ww siunapenda mafaranga.Asantreeeeeeeeeeee kwa kunisaidia kumchana bwege huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MbalimbaliPerfume zipi madam
Nina siku 4 sijalala 😐Leo hujalala mchana?