Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Wewe umesema ni binamu yakee eeh??Kumbe, basi mfikishie tu ujumbe wako kuwa unampenda. Kwa nini unanitumia mimi?
Mpo karibu , mwambie tu ataelewa .
Wewe umesema ni binamu yakee eeh??Kumbe, basi mfikishie tu ujumbe wako kuwa unampenda. Kwa nini unanitumia mimi?
Ndio ni binamu yangu.Wewe umesema ni binamu yakee eeh??
Mpo karibu , mwambie tu ataelewa .
Okay sawa nitamfikisha mwenyewe .Ndio ni binamu yangu.
Hili gumu sana kwangu, nikushauri tu kama vipi mfikishie tu ujumbe. Mimi sitaki kumuingiza kwenye matatizo akanilaumu baadae.
Wakati mwemaOkay sawa nitamfikisha mwenyewe .
Thank you .
Mbona kama nyokaMsusa
Hapana wanakuwa warefu tu wale ambao wakiwa wadogo Huwa wanakunjwaMbona kama nyoka
Ooh kambaleHapana wanakuwa warefu tu wale ambao wakiwa wadogo Huwa wanakunjwa
Sio kambale nitaleta pichaOoh kambale
Anipeleke wapCocah njoo uchukue Cuzo Ako😂😂😂
Dawa yako ya kucheka cheka ninayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimepaliwa kwa kuchekaaa. Khaaah
Oooh hapo sawa dearYeah nilipita sema huku nyuma njia ya makongo .
Ipii??Dawa yako ya kucheka cheka ninayo
Yaani sa kumi na Moja na nusuAmkeni
Amkeni
Amkeni
Tuselfike
Hizo ndiyo nzuri madam Tayana-wogYaani sa kumi na Moja na nusu
Boss picha zingekuwa mbaya🤣
Ondoa ua chap
MorningOndoa ua chap
Si tulishakubaliana zilo dolali
Good morning Dr
Kucheza baikokoAnipeleke wap